Baba ft. Mtafya Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Baba ft. Mtafya - Nay Wa Mitego
...
FREE NATION
Thanks God nmeamka salama leo nmejikuta tu nakukumbuka baba
Dingi leo nimekuja kwako japo skutokea hata kwenye msiba wako
Stori n nyingi juu ya kifo chako na mama analalamika havimtoshi viatu vyako
Nimeamini kweli kikulacho kinguoni mwako na wale wafuasi wako hawapo upande wako ile benki ulojenga kwako sku izi imekua baa watu wanakunywa bia na hakuna anaeshangaa kile kiwanja cha ndege ssjui ungejenga tu cha mpira hakuna ndege inayotua labda kasuku na njiwa uliemwacha mwenezi sio mwenezi ??? shule ya uongozi kifupi wamemtema nae kawa kama mpinzani kutwa mama anamsema dingi huku ni salama ila team yako inatia huruma