![Zikaa ft. Ay Masta](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/07/29/2f26e69883ac418baa0a583935661340_464_464.jpg)
Zikaa ft. Ay Masta Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Zikaa ft. Ay Masta - Nay Wa Mitego
...
zikaa
zikaa
zikaa
zikaa
take five now!
hey watagwani kwani vipi nani anatudai
nakesha Bongo mpaka kenya wazee wakushine
tayari hii ni kesi ya kunyonga tai,
wapinzani mpowapi niwazike hai
haipendezi piga kazi sio kuongeaongea
unyakyusa mwingi toka Moshi mpaka Mbeya,Mbeya
am the woman never compair
hii ni time ya mazishi I don't play fair
Baba yaga nipo kwenye ramani wakati wa vita nataka amani (zikaa)