
Thank Lord Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Thank Lord - Nay Wa Mitego
...
Ni Kwa neema tux3
Verse 1.
Kama moyo ungekuwa na sauti ungesema leo ungeusikia nilimwamini sifa zote na utukufu nazompa ni kutoka moyoni Alinipa chakula kipindi na njaa akautuliza moyo usiwe na tamaa japo shida matatizo viliniandama bado ukanipa nguvu ya kupambana thanks Lord thanks baba Kwa upendo na mahaba i believe in you thanks baba I’m nothing without you God I pray eeh.
Chorus
Kwenye giza ukanionyesha mwanga
(Asante baba) eeh eeh (Asante baba )
Siwezi kitu bila wewe (asante baba)
Ooh lord (asante baba)
Thank you for protect my family (thank you lord)eeh eeh (thank you lord)kafungua njia (thank you looh ooh)ooh lord(thank you lord).
Verse 2
Ooh lord
Mungu akulaze pema my brother john mjema ulianza kuniona mapema ukasema ntakuwa noma kweli Mungu ni mwema japo umeondoka mapema i wish ungekuwepo ulichotabiri ungekiona japo haikuwa rahisi kusikika kukubalika nimepigana vita haimaanishi kwamba ndio nimefika sijaridhirika na sijalewa sifa nishapigwa kopo kwenye show nishafukuzwa studio wakina hujui kuimba ndio walikuwa wengi joh hakuna aliyeniamini sio ndugu sio rafiki hata mpenzi niliemwamini nae alini disappoint.
Chorus.
Thanks lord
Thanks baba Kwa upendo na mahaba i believe in you thanks baba I’m nothing without you god I pray eeh
Kwenye giza ukanionyesha mwanga
(Asante baba) eeh eeh (Asante baba )
Siwezi kitu bila wewe (asante baba)
Ooh lord (asante baba)
Thank you for protect my family (thank you lord)eeh eeh (thank you lord)kafungua njia (thank you loo ooh)ooh lord (thank you lord).
Asante baba x4
Thank you lord x4