Bado Mdogo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Bado Mdogo - Aslay
...
Mmmh
ni Aslay wa mkubwa na wanae
Na linah wa tht
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Yani nikikuoa tu moyo wangu unadunda dunda kwa uwoga
Mi nakosa raha we mama nabaki kama zoba
Siku nikukuona tu moyo wangu unadunda dunda eeyaa
Nikikuona tu moyo wangu unadunda dunda
Minakosa raha we mama we mamaa
Minakosa raha we mama nabaki kama zobaa
Unasema nisikuite mama
Eti nikuite honey
We mtu mzima nikuite honey mi wakazi gani
Umeniahidi mi majumba mazuri na magarii
Ili mradi uwe namii
Umeniahidi majumba mazuri na magarii
Ili mradi uwe nami mimi
Unasema nisikuite mama
Eti nikuite honey
We mtu mzima nikuite honey mi wakazi gani
We jimama zima zimama mawe eeh
Unanifaataa mimi
Nitaenda kusema kwa mama
Kusema kwa mama
Wee unanifanya nisisome vyema
Weewee unanifanya niseme kwa mama
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
(Linah)
Unajua mi nimdogo sanaa
Atashule sijamaliza baba
Unajua mi nimdogo sanaa
Atashule sijamaliza baba
Na wewe si unawatoto kama mimi
Na wewe si unawatoto nyumbani
Na wewe si unawatoto kama mimi
Na wewe si unawatoto nyumbani
Yani nikikuona tu moyo wangu unadunda dunda kwa uwoga
Mi nakosa raha we baba nabaki kam zoba
Siku nikikuona tuu moyo wangu unadunda dunda eeah
Nikikuona tu moyo wangu unadunda dunda
Mi nakosa raha we mama we mamaa
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua
Kwanini unapenda penda kunifatilia
Mi ni mdogo we unajua