Danga ft. Shirko Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Danga ft. Shirko - Aslay
...
Yoyoyoyoyo
S. A chaal K. O
See
Because den flayor wana gana sem love and try
Me fill large kudadaskom away
Be at on mid of a delay shirko fon chewn naulachu mila aslay Yeah
Najitutumuaa
Namuonesha mapenzi ya kweli
Anazinguwa ananita dogodogo nitafeli ii
Namwita baby ananiona kama si mkweli i
AAAAAH
Anazinguwaaaaa
Kwenye mapenzi ananikejeli
Kumbe serengeti boy najisumbua sumbua
Eti kwako nilifata pay we mke wanguu zugu
Kweli ulinifanya toi ndo sikujua sumbuua
Penzi ulinipa kwa siri ukiamua mmmmmh
Danga Danga
Mmmmmh kwako sijaja kudanga
Danga Danga
Eeeh nilikuwa naeee
Danga Danga
Uololo sijaja kudanga
Danga Danga
Iyeee Iyeee
Simu unapokea mchanaa
Usiku no kutafutanaa
mbele za watu nikuite mama wapi na wapi Iyeee
Unapenda kujificha sanaaa
Hutaki kuonekanaa
Kumbe we ni shoga mama mie sitakii Iyeee
Unaniweka roho juu roho juu juu
Roho juu juu
Na tayari shachora tatoo I love you
Mbona unatia sumu Penzi letu
Penzi letu
Ni nani wa kumlaumuu kati yetu kama si wewe
Kweli pesa unanipa, mapenzi ya kweli nakosa
Gafla umebadilika mamaaa
Unanita dogo
Danga Danga
Mmmmmh kwako sijaja kudanga
Danga Danga
Eeeh nilikuwa naee
Danga Danga
Uololo sijaja kudanga
Danga Danga
Iyeee Iyeee
Nisepee Nisepee
Aiwoo Nisepee
Wacha Nisepee Nisepee
Kumbe wewe sio saiz yangu
Nisepee Nisepee
Ai Ai Eeeh Nisepee
Wacha Nisepee Nisepee
Nikatafute type yangu
Nisepee Nisepee
Mi ninazi na mina niwee
Nikatafute nazi mwenzangu
Nisepee Nisepee
Uuuuuuuh
Wacha Nisepee Nisepee
Nikalale