Niwe Nawe ft. Temba Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2011
Lyrics
Niwe Nawe ft. Temba - Aslay
...
baby nataka uwe nami eeh
kwn vicheche kwangu sumu
baby nataka nikuoe nisha weka ahadi kwenye mizimu
baby nataka uwe nami eeh
kwn vicheche kwangu sumu
kama niusumbufu wanao binadamu
basi vumilia usije leta wazimu
unajua shangazi hadi wazazi
kwamba we ndo mpenzi wataka kua nami
kama usumbufu wanao binadamu
basi vumilia usije leta wazimu
unajua shangazi hadi wazazi
kwamba we ndo mpenzi unahitaji kua nami ukinitosa mim nitabaki na nani
tulia nami nami baby
kama makosa wanayo binadamu
basi vumilia usije leta wazimu
unajua shangazi hadi wazazi
tulia nami nami baby
repeat chorus
tumaini langu niwe nawe Mpaka mwisho
nikuite mke wangu mi na we tunakula kiapo
nikiwa na we mpenzi wangu nahisi nipo kwenye pepo
we ndo wangu we ndo wangu Mpaka kifo
tuamini langu niwe nawe Mpaka mwisho
nikuite mke wangu mi na we tunakula kiapo