
Naenda Kusema Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2011
Lyrics
Naenda Kusema - Aslay
...
tena inaniuma kwa sana leo
nikitoka naenda kumwmbia mama leo x2
naenda kusema kwa mama kuseema x2
wewe wewe mwana kindagala mkubwa ngalawa wee
nyumbani mama umemuachia buku
kishtobe baa umemnnulia kuku
ukirudi nyumbani mikono mitupu
tena kurudi kwako ni usiku
inaniuma nasema sinyamazi ata uninunulie nyama
akununulie nan nyama utakula dagaa
nkitoka naenda kumwmbia mama
aaa usifanye ivyo
nasema nasema
usifanye ivy mwanangu
nasema nasema
we mtoto wa kiume bwana
doongo dongo dongo nini shetan
tena inaniuma kwa san leo
nikitoka naenda kumwmbia mama leo x2
naend kusem kw mam kuseema leo x2
leo nyumban patachimbika
nitamwmbia adi sehem uliotoka
nasema leo mbona patanuka
unga nanunua mie unanunua ww
namuelez mama pmoj na kaka
we baba mbn c unatutes
unaondok hutuachii at pes
namwmbia yot yko makos
utaham
pengn utkuj kuyaacha
ten inanium kw xn leo
nikitok naend kumwmbia mama leo x2
naend kusem kw mama kuseeem x2
nyie watoto mlozliw wakat huu wa jakay yup madarakan mnashid nyie kil kit mnajifny nyie mnajua ucku mref mwanang
nasem nasem inanium xn
kil ck nyumban kugomban x2
oiye ee inanium xn
oiye ee kil ck nymbn kugomban x2
oiye ee x7