![Umbea](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0C/74/E2/rBEezl2a9iGAISHuAACBWteSy_k514.jpg)
Umbea Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2017
Lyrics
Umbea - Aslay
...
Oooh... Heiee... Aaah... Haiyaha?
Unapenda Umbea Umbea Umbe Umbea (Uyo) Umbea Umbea Amesha Gombanisha Watu Unapenda Umbea Umbea Umbea Umbea (Uyo) Umbea Umbea Pale Kila Siku Tifu
Kila Siku Maneno Maneno Maneno Maneno Kitaani
Kila Siku Maneno Maneno Maneno Maneno Kitaani
Tabia Yako Mbaya Tumechoka Tumeamua Sasa Kukusuta Umegombanisha Wale Makaka
Ukapiganisha Wale Masister
Eeeh, Sasa Inatosha Tumeamua Kukusuta Kitaani Tumechoka Maneno Na Vyako Vibwekaaaaa, Eeeeh, Ooohoa,
Unapenda Umbea Umbea, Umbea Umbea (Uyo) Umbea Umbea Amesha Gombanisha Watu Unapenda Umbea Umbea, Umbea Umbea (Uyo) Umbea Umbea Pale Kila Siku Tifu
Kila Siku Tifu Kila Siku Tifu Unagombanisha Wale Wanaopendana Kila Siku Bifu Kila Siku Bifu Unakosanisha
Wale Wanaopatana
Umegombanisha Wanaume Family Umesababisha leo wametengana Umekolofisha Mpaka Bungeni Haueleweki Bwana Ni Wa Namna Gani
Tumsuteni Tumsuteni Tumsuteni
Tumsuteni Tumsuteni Tumsuteni
Tumsuteni Tumsuteni Tumsuteni
Tumsuteni Tumsuteni Tumsuteni
Tumsuteni Tumsuteni Tumsuteni
Tumsuteni
Unapenda Umbea Umbea, Umbea Umbea (Uyo) Umbea Umbea Umeshagombanisha Watu Unapenda Umbea Umbea, Umbea Umbea (Uyo) Umbea Umbea Pale Kila Siku Tifu
Tumsuteni Tumsuteni...
Umbea Umbea...
Tumsuteni...
Amesha Gombanisha Watu...
Tumsuteni Tumsuteni...
Umbea Umbea...
Tumsuteni...
Pale Kila Siku Tifu.................?
Lyrics Write By TheNerd_Rich_2608