Ndoa Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
Ndoa - Zaddy Raydio
...
ooa ooah mmmh mmmh mmh.. raydio
(alexis on the beat)
Leo ooh Dada mwenzioo Leoo Funga Ndoa
ukoo penzi mwenzio Ukoo ooh Funga Ndoa
Walitesa saana moyo wako, kukesha saana kuomba dua
Kumlianga sana Mungu wako, kuchoka saana kuomba dua
everyday Everyday, baado ooh bado dua
na today na Today, leoo waka jua
ona Meli sasa ng'oa nanga
kuvishana Pete kwa kiwanja
miaka nyingi tena ya baraka
Akupe baraka pia mama
Ona nguo nazo zabana
aki baby shower twangoja
Ukifunga Ndoa Salama
Usisahau bado si tupo
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
Mama shangilia mama shangilia ooohaeeeh
Salma shangilia Salma Shangilia ooohaeeeh
miaka Thelathini ajaoa aah, leo Kampata mume
dada walai usitie doa aah, leo Kampata mume
Miaka Thelathini ajaoa aah, leo Kampata mume
Dada walai usitie doaa ah, leo Kampata mume
ah tunashangilia tunashangilia tunashangilia sotee.
tunashangilia tukikuimbia tunashangilia sotee
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
Ndi musanyufu we uwaowoo.
we uwaowoo ndi musanyufu
ndi musanyufu we uwaowoo
Ndi musanyufu we uwaowoo
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
DADA KAOE NAAN OA OA OA
NA MUME MLISHE NAAN NDOA NDOA NDOA
Umepanga tena ya kuoa
usipange tena ya kutoka (2)