MUDA Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
MUDA - Zaddy Raydio
...
INTRO: Uyeeeehehh
Uyeeeehehh
Zaddy Raydio ooooh
CHORUS:
MUDA OOH MUDA
MUDA OOOH MUDA
MUDA OOH MUDA
MUDA IYEEYEEHH
MUDA OOH MUDA
MUDA OOH MUDA
MUDA OOOH MUDA
MUDA IYEEYEEHH
VERSE1:
Kulilia Lia ooh nimekataa
Eti kisa wamenikataa
Pressure mawazo kunisonga.
Nitafeli iyeeyeehh..
Kukosa pesa oooh balaa
Nikiamini yatakwisha
Pesa vikwazo yanapita
Nivumilie iyeehhhyeh..
PRE-CHORUS:
Mpaka napiga aaah
Magoti I
Namlilia aah
Mola Wangu iyeehhhyeh
Chozi latooka..
Huzuni..
Namuombeaa
Mama yangu iyeehyehh.
CHORUS:
VERSE2:
Nakama tulipewa hiki wengine kileeh..
Nyi hamukupata hiki na wengine kileeh..
Piga Dua subiri zamu yako itafika ..
Piga Dua subiri zamu yako itafika...
Mama yangu kazi kuniombea, mwanangu utafika kule..
Nipambane kutwa kuniombea, mwanangu utafika kule
Mama yangu kazi kuniombea, mwanangu utafika kule
Nipambane kutwa kuniombea, mwanangu utafika kule.. ee
PRE-CHORUS
CHORUS:
VERSE 3:
Unapambana saana, muda
Ila hupati, muda
Usikate tamaa, muda
Siku yako itafika
Wanakusema saana, muda
Haufiki kule, muda
Usikate tamaa,muda
Siku yako itafika