NIWACHE Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
NIWACHE - Zaddy Raydio
...
mmmh mmmh mmh
oyeee mmmh
Alexis on the beat
huwa kweli nashangaa
wale ambao wanapenda
bila kukosana na kuwachana wafanyaje?
jua lang'aa,
na siku zaenda
bado sijapenda na kupendeka nifanyaje
nikipenda natendwa
nikikosa natengwa
nilizunguka kushoto, kulia ooh nikachokaa
nikipata napendwa
nikileta napendwa
kuotanga mandoto, asante nikajifunzaa aah
Maombi kaomba..omba
niwezeshwe kupenda aiih
mengi yanasemwa,kwa rafiki tena jirani iih
kulala kalala,
niyasahau kupenda.
mengi nayaona hadharani toka zamanii
niwache niwache niwache . niwache mimi
niwache niwache niwache. nikakondaa
niwache niwache niwache. mapenzi iii.
niwache niwache niwache
na mengine sisemi, ni mengi tu nimeyaona
kununua mapenzi haitoki tena kwa moyo..
na mengi kaambiwa, hukiwa naye ni wako.
maana akiondoka, anaranda kwingi hachoki.
kama mtoto sijajua, mapenzi sijaelewa
kule napotoka, hakuna tena kupendaa
kama baba angekuepo, kunifunza kupenda
wale ninaopenda hakuna tena mapenzi
Maombi kaomba..omba
niwezeshwe kupenda aiih
mengi yanasemwa,kwa rafiki tena jirani iih
kulala kalala,
niyasahau kupenda.
mengi nayaona hadharani toka zamanii
niwache niwache niwache . niwache mimi
niwache niwache niwache. nikakondaa
niwache niwache niwache. mapenzi iii.
niwache niwache niwache
niwache niwache niwache . niwache mimi
niwache niwache niwache. nikakondaa
niwache niwache niwache. mapenzi iii.
niwache niwache niwache