Queens of queens Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Queens of queens - Zaddy Raydio
...
queen of Queens..mmh queen of Queens..
VERSE1: Siendi kwengine Tena,nishajua kwako ndo nifie..
Mbona nijigambe kutwa, sababu nina wee ndo unifae
Hata waniroge,Niko kwako ooh,.wanipige mawe
Wataka nitoke,waje kwako ooh,,Wakacheze nawe.
PRE-CHORUS: Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa..
Acha waseme,waseme ah siwachani nawe
Tena wagome,wagome ah mwisho wangu wewe
CHORUS:
QUEEN OF QUEENS...
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE MINE YOU ARE MINE
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE,YOU ARE
QUEEN OF QUEENS..BABY YOU FIRE
VERSE 2: Ndoa muda bado,najua naimani,kokote tutafika mbali
Ooh pesa bado,najua naimani,chochote,tutapata honey
Aah nishazama,nikapenda-kwako nishazama kwako wewe
Kwa mama,nimependa, walai nishazama kwako wewe
PRE-CHORUS: Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa
Wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa..
Acha waseme,waseme ah siwachani nawe
Tena wagome,wagome ah mwisho wangu wewe
CHORUS:
QUEEN OF QUEENS...
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE MINE YOU ARE MINE
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE,YOU ARE
QUEEN OF QUEENS..BABY YOU FIRE
BRIDGE:ONANA NAH NAH ,NAAH NAH(4)
Ubaya niliyaona Tena nije kwako nije tena kuyaonaa, wabaya niliwapenda tena waje kwako waje kukuchukuaa
CHORUS:
QUEEN OF QUEENS...
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE MINE YOU ARE MINE
QUEEN OF QUEENS..YOU ARE,YOU ARE
QUEEN OF QUEENS..BABY YOU FIRE