CHANDA CHEMA Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2022
Lyrics
CHANDA CHEMA - Zaddy Raydio
...
INTRO:
lalaalalaaaha
lalaalalaaaha
Zaddy Raydio oouwoooo
VERSE1:
Baba na mama nimekuwa, nimekuja kwenyu nataka ruhusa
Kuna binti pia amekuwaa, ruhusa tuishi wawili
Baba sijafanikiwa, Ila watoto ndo barakaa
Tuishi leo makiwa, usione tuna haraka
Wangapi wengi hawajaoa, Ila bado tu wanataka
Tusichukie na ndoa, mali mbeleni tutapata
PRE-CHORUS:
Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah
Nifuraha yangu ya maisha
Nikifa kesho Nani tanizika
Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aaah
CHORUS:
NIKIVISHE , CHANDA CHEMA
NIKIVISHE, CHANDA CHEMA
NIKIVISHE, CHANDA CHEMA
NIPEWE HESHIMA
NIKIVISHE, CHANDA CHEMA
NIKIVISHE, CHANDA CHEMA
NIKIVISHE, CHANDA CHEMA
NIPEWE HESHIMA
VERSE2:
Nilipomuona hapa, niliamua nituliee
Nimeteseka Sana, kwake nivumilie
Mbeleni niitwe baba, moyoni nimjue
Nieleweni mama, nanyi mumjuee
Ana tabia za paroti, aaah mpole saaana
Chakula tamu Kama keki, aaaah mpishi saaana
Nikiwa naye siizeeki, aaaah mcheshi saana
Hapendi za manoti, aaah mzuri saaana.
Muniwieeh muniwieeh eeh mie
Nimfungie nimfungie eeeh yeye
Muniwieeh muniwieeh eeh mie
Nimfungie nimfungie eeeh eeh yeye