
Unakosa Raha Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
unajikosesha raha za moyo zaidi ya kunidhamini,ninapozongwa na izi changamoto kutoa burudani,natambua una simanzi na maumivu pindi nikiwa mbali..nielewe nabeba uaminifu unapaswa unipe nafasi..
unakosa raha
unakosa raha
juzi ulikwamia ukasema unataka tuambatane,kwenye kumbi za tamasha unataka.. mi nawe tuongozane
kule,kule ukaleta vituko na tafarani
hunipi huru ata kidogo unasahau kwamba nipo kazini
nikipiga picha unakosa raha,
nikishinda studio unakosa raha,
nikitoa video unakosa raha
mi ni msanii bwana weeeh
zile stori za mitandao,zimekubadilisha
ata shabiki achangiapo kwako inakua Vita
ulinipata nikiwa msanii oooh
unaelewa ni kioo Cha jamii Mimi...
Kila nachofanya,
nikichezwa Sana
nikiangaziwa Sana
mi ni msanii bwana eeh