
Tantarira Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2020
Lyrics
Tantarira - JOVIAL
...
Excuse mih nimepata ka mpenzi ananipa raha nyingi nakunienzi (×2) (jamani wee unanijulia ila nitakacho mimi unanipatia)×2 aaaaaah oooooh yeeeee
(Hujachelewa chelewa mimi ni wako
Nimenongewaaaa sitoki kwako)×2
umenifanya niwe tantarira rirara rirara
Unanifanya niwe tantarira rirara rirara
Umenifanya wee minipangawe tantarira
rirara rirara
Umenifanya wee ninipangawe tantarira rirara rirara ooooh Ooooooh
Hapendi nikiwa na stress anapenda nikitabasamu anipa mapenzi moto moto
Hapendi nikiwa na stress anapenda nikitabasamu anipa mapenzi moto moto
Anajua kunipa ham nishow matatam hajfaili niwaukweli napata daily
ila kwangu ni daktari tiba yake nakubali
Hajfaili ni wa ukweli napata daily
Jamani wee unanijulia ila nitakacho mi
wanipatia
Jamani wee unanijulia ila nitakacho mi wanipatia