
Deejay Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2019
Lyrics
Deejay - JOVIAL
...
bickypon dis
the only one bicky eehh
ninapozubaa,
fikira zako hutanda kichwani mwangu eehh
kichwani mwangu eehh
napigwa butwaa
jinsi ulivyoziteka hisia zangu eeii
unajua unapitiliza, ongeza utundu baby koleza
nifanye zuzu kwako zezeta
mmmh mmmh (x2)
Nicheze kama lambs Lolo (nicheze)
niekee kwa mtima wange(nicheze
Kisha tudigidigi(nicheze)
mmhhh
nicheze
kama lamba Lolo(nicheze)
niekee kwa mtima wange(nicheze)
nicheze kama jigijigi(nicheze)
mmhhh
nicheze
umeniwashawasha roho
usinipee kimiamimia nipe zile zako
mie kwenye floor
kuja nicheze nawe
coz boy am on fire
it's you Niko juu?
nishajimwaya kwa makarafuu, barafuu
ushaniweza weee
unajua unapitiliza
ongeza utundu baby koleza
nifanye zuzu kwako zezeta
mmhhh
x2
nicheze kama lamba Lolo(nicheze)
niekee kwa mtima wange(nicheze)
Kisha tudigidigi(nicheze)
mmmhh
kama lamba Lolo(nicheze)
niekee kwa mtima wange(nicheze)
nicheze kama jigijigi(nicheze)
mmmhh
nicheze nicheze nichezeee
nichezeee x2
kama unavyocheza club nichezeex2
nichezeee.. nichezeee nichezeeee