
Chechemea Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Chechemea - JOVIAL
...
baby mwenzio nakuzimia
harufu yako hasili kama mturi umenyunyizia
tena ninakuaminia
fundi makirikiri huko kamili nadidimiamia
kila nikikwangalia naona nilichelewa wapi
vitu unavyo ni gawia sijui nivinge vipata wapi
unavyo ni dekeza kama mtoto
sina chuki kwako niponipo
ushaniduwaza lokoloko baby
unavyo nitimbua pimple pimple
chonjo zako baby ziko simple
uba lako oji sio loko baby
kwako na che che chechemea oh
che che chechemea
nina che che chechemea ohh
che che chechemea
nina che che chechemea ohh
che che chechemea
nina che che chechemea ohh
che che chechemea