Nitakupa Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Nitakupa - Msomali
...
every bad some bade, hahahahaha r dj nguto yeyeee, aah natamba sana"aah smart yiooo, mwenzangu na mimi tupo kibao, we chunga sana usije ukalala nayoo, naicho ndo kitu nilicho jaliwaa na molaa, we dada niombe pesa nitakupa pesa ya kuchoraa, jamani we danga ni dangie, "nitakupa mimba tu" ah we susu nisusie, "nitakupa mimba tu" we nishobokee uone, "nitakupa mimba tu" jamani nishobokee uone, "nitakupa mimba tu" muoneee kashoboka, shobo nyingi alizani nitatoboka, wee muoneee katobokaaaa, shobo nyingi alizani nitatoboka, ooh mama ohoo hana ayaaa, kaona pochi limetuna kapagawaaa, ooh mama ohoo hana ayaaa, kaona pochi limetuna kapagawa,