King'anga'nizi ft. Dully Sykes Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2024
Lyrics
King'anga'nizi ft. Dully Sykes - Msomali
...
Mbooker Price Dully askyes Brother Men
msomalii
Vitamin Ohhh
Salamu dear Salumu dear ex
Uku nilipo mi niko mwepesi
Nahisi dua zako hazijapokelewa kwa Mola
Uliomba Nife nipigwe hata anakombora
Usipate shida Kunilike kuni comment
kuleta Mbwembwe zako za mbuu nje ya neti
Usipate shida Kunifollow baby wangu anakuona Anaku unfollow
We usipate shida Kunitag kwenye picha Zako
Zenye mafumbo mafumbo shika adabu yako
Tena anakuomba waambie rafiki zako
Waache kuniita shemeji mi sio mpenzi wako wewe
#Chorus
Eti jamaa mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Eti mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Oh jamani ex wangu king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Eti jamaa mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Ohh king'ang'a king'ang'anizi hatari
Oho ohooo iyee iyee iyee
Oho ohooo iyee iyee iyee
Si uliniacha Mwenyewe peke yangu
Hukujua Mungu wangu anaipenda ahh
Nipotee nilewee ex wangu ukapotea zako nawe ukaenda
Sina shida nawe tenaaa
nimeshapata mwenginewe ananipenda sana
Nakuombea nenda vyema maana hauna maana tena
nenda Zako mamaaa
Nilishasema nenda zako anaenipenda ninae
mapenzi nawe sitaki tena anaenipenda ninae
Shida zoote za Nini anaenipenda Ninae
Sitaki fujo sitaki shobo anaenipenda Ninae
Eti jamaa mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Yule pale king'ang'a king'ang'anizi hatari
Mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
king'ang'a king'ang'anizi hatari
Mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Yule pale king'ang'a king'ang'anizi hatari
Mmemuona king'ang'a king'ang'anizi hatari
Aah msomali hapa Vitamin Ohh