Kwanini ft. Dj Mushizo Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwanini ft. Dj Mushizo - Msomali
...
Aaahh Msomalii hapa
Nikiwa sambamba na wee Mushizo utawaua
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini ndo nini
Hutaki kuvimba na mimi
Eti mama nishapendeza twende wote
Mi nishawaka nanukia twende wote
Nitakuwa nyuma yako mama popote
Atakae kushika mhhh ahh tutakufa wote
Asa mbona unanigomea
Si ulitaka nguo nimekununulia
Asa mbona utoki mi nakungojea
Nimemuita bodaboda nasubiria
Ahh mama kama unatoka njoo basi tuondokee
Kama hutaki niambie mimi nisepe
Kama unatoka njoo basi tuondokee
Kama hutaki niambie mimi nisepe
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini ndo nini
Hutaki kuvimba na mimi
Eti mama uku kwenu sungu sungu
Wamenikamata nyungu wamenipiga marungu
Siji tena
Tena uku kwenu sungu sungu
Wamenikamata nyungu wamenipiga marungu
Siji tena
Kugoma kwako kuja kumenifanya nikapoteza muda
Eti mama
Kugoma kwako kuja kumenifanya nikapoteza muda
Asa mbona unanigomea
Si ulitaka nguo nimekununulia
Asa mbona utoki mi nakungojea
Nimemuita bodaboda nasubiria
Ahh mama kama unatoka njoo basi tuondokee
Kama hutaki niambie mimi nisepe
Kama unatoka njoo basi tuondokee
Kama hutaki niambie mimi nisepe
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini kwanini
Hutaki kutoka na mimi
Hasa kwanini ndo nini
Hutaki kuvimba na mimi
Aahh natamba sana
Dada sogea mbele tuoneshe wako uchizi
Naumevua dela kiunoni umefunga irizi
We dada sogea mbele tuoneshe wako uchizi
We umevua dela kiunoni umefunga irizi
Aaaaah aah mhhh utamu kolea
Aaaaah ahh ahhh utanipa wewe
Oy jamani
Noma kanjani kibampani
Uyu dada anaona poa
Kufika geto uyu chura ataki kuvua
Namshika kidogo mara paah kazimia
We dada
Aaaaah aah mhhh mimi nikakimbia
Aaaaah ahh ahhh zigo limeniangukia
Ahh vitamin music forever
Ahha Msomali hapa na hili goma nikiwa na
Mushizo utawaua
Kafa paka kazikwa nyauu
Chapaa
Nikiwa ndani ya SMS Music
Asandree
Nakubali sana watoto wa Mbagala watoto wa Buza Moja
Watoto wa Mbande watoto wa Kisewe
Watoto wa Kigamboni watoto wa Kucheree
"Kwanini" by Msomali ft. DJ Mushizo
SINGELI VITAMIN A