Nakukumbuka Mama(I Miss You Mama) Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2024
Lyrics
Nakukumbuka Mama(I Miss You Mama) - Msomali
...
Cyril Music
Natamba sana
Mama mama mama, Ohh I miss you mama
Mama mama mama, Ohh I miss you mama
Mama mama mama, Ohh I miss you mama
Nick Wizzo
Mi niliweka dhamana na Wewe
Mwisho wa siku ukaondoka
Ukaniacha ukaenda Mama
Nimemiss Mawazo Malezi yoote
Yoote Uliyonifundisha Mimi
Onaa Yoote uliyonifundishaa Mamaaa
Onaa Yoote uliyonifundishaa Mamaaa
Onaaa Onaa
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Naomboleza Nashika tamaa
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Naomboleza Nashika tamaa
Mamaahhhhhh maaahh maaahhhh mAAhh
La shai nisamehe Mola tangu uage dunia
Ulimwengu nauchukia Mamaa
La shai nisamehe Mola tangu uage dunia
Ulimwengu nauchukia Mamaa
Mi Sina budi kusema ewala haya yoote alopanga Mola
Umefumba Macho kama Umelala
Kumbe ndio basi sikuoni tena
Zinarudi fikiraa Fikiraaa nikikumbuka Upendoo
Inakuja twasira Twasira umeacha Kubwa Pengo
Zinarudi fikiraa Fikiraaa nikikumbuka Upendoo
Zinarudi twasira Twasira umeacha Kubwa Pengo
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Naomboleza Nashika tamaa
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Nimekumiss Sana Wangu mama
Naomboleza Nashika tamaa
Mamaahhhhhh maaahh maaahhhh mAAhh
Usiku wa manane kilio vilio kutwa kuchwa Ulinibembeleza Mama
Nilipopigwa mwenzio we Mama Ulikuja Mbio mi ulinidekeza Sana
Dharau za manesi ulishindana nazo hodini mi nije duniani
Ulipingana nazo zisilete Chanzo nishindwe mie Kuja duniani
Zinarudi fikiraa Fikiraaa nikikumbuka Upendoo
Inakuja twasira Twasira umeacha Kubwa Pengo
Zinarudi fikiraa Fikiraaa nikikumbuka Upendoo
Zinarudi twasira Twasira umeacha Kubwa Pengo
Mama mama mama
Mama mama mama
Mama mama mama