
Happy Birthday to Me Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Happy Birthday to Me - Msomali
...
J4d sound
Vitamin Music forever
Adasco mtu mbaaya
Leo siku ya furaha ningekuwa na mama
Alionileta duniani
Natamani siku ya furaha leo
Ningekuwa na mama alionileta duniani
Mama popote ulipo leo ndio ile siku ulionileta duniani
Najua hapa nilipo upo, unaniskia ila ndio mama sikuoni
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Leo mama happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me
(iii iiiii iiiii iiiii)
Acha nikusifie sifa zako nikupe
Mama yangu mie
Popote ulipo nakuombea dua zangu mie
Zikawe mwanga zikuangaze uko ulipo wewe
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Unanisikia mama mimi nakupenda sana
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Ungekuwepo mama cake ningekulisha
Ungekuwepo mama mbele ningekuita
Leo mama happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me leo mama
Happy birthday to me
Happy birthday to me mi mwanao
Happy birthday to me
Happy birthday to me
Aaahh Vitamin Music forever
If you love your mama say Mama