![Wacha Wacheki](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/23/78/rBEehl1P4JqAWy31AAC9Z1TDFX0547.jpg)
Wacha Wacheki Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Wacha Wacheki - Moji Shortbabaa
...
mmmh
yeah
eeeh mmmh yeah yeah
oooh na na na
oooh na na na
moji shortbaba shortbaba
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
baba yoo baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba yoo baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba bila we sina mbele wala nyuma
yeah yeah
baba bila we maisha ngumu kama chuma
yeah yeah
baba bila wewe ni machozi ??
so naja kwako yeah
kila wiki kama sukuma
umesema baba, sitaona aibu, aibu
ukasema baba
ya shetani utaharibu, haribu
so nasema baba
kwangu uko karibu, karibu
jioneshe baba na jina lako libaki juu
libaki juu
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
hata kabla kuingia
ukanitumia
nitumie moyoni
we uliniwazia, ukanipangia
hata siku za usoni
so sina ujanja mimi , sina ujuzi mimi
sina ujanja mimi, aah , jioneshe na mimi
wanatry wanatry wanatry
kuniweka low low low low low
lakini i i i i i, baba naku know know know know know
so naomba, naomba
jioneshe na mimi
ndio wacheki eeh eeh
mbona mimi nakuamini
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe baba yoo
baba yoo
jioneshe
baba yoo
baba yoo
jioneshe
baba baba yoo
eeeh eeh
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
wacha wacheki
wacha wacheki
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
baba yoo
baba yoo yoo
jioneshe na mimi
yeah yeah yeah yeah