
Mungu Wa Musa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mungu Wa Musa - Moji Shortbabaa
...
(Eeh )baba bado kidogo ,kidogo, kidogo (eeh ee) kidogo ,kidogo, kidogo, *2
ni shorti baba
Mungu wa musa (eeh ) (*4)
tawanya bahari , nipite nipite ,nipite( *4)
kidogo ,kidogo, kidogo( eeh ee )kidogo kidogo ,kidogo ,
(Eeh )baba bado kidogo, kidogo ,kidogo( eeh ee) kidogo, kidogo ,kidogo( eeh) baba bado kido..
umenitoa Misiri umenitoa mbali baba si siri( *2)
Lakini sasa sasa sasa manoma zimejaa ja ja ja (*2)
na majeraha ya moyo ,mara marafiki mara familia (eeh )na majeraha ya moyo sipati usingizi mi nashinda lia( *2)
Mungu wa musa (eeh) (*4)
tawanya bahari nipite ,nipite ,nipite,( *4)
bado kidogo, kidogo, kidogo (eeh ee), kidogo kidogo, kidogo (eeh) baba bado kidogo, kidogo ,kidogo (eeh ee ),kidogo ,kidogo kidogo (eeh )baba...
what can I do without you, (eeh) baba come through( * 2)
gawanye iwe part A and part B baba ni wewe sina plan B( *2)
na majeraha ya moyo ,mara marafiki mara familia( eeh )na majeraha ya moyo, sipati usingizi mi nashinda lia (*2)
Mungu wa musa (eeh) (*4)
tawanya bahari nipite ,nipite ,nipite (*4)
bado kidogo, kidogo, kidogo ,(eeh ee) kidogo ,kidogo ,kidogo,( eeh) baba bado kidogo ,kidogo, kidogo ,(eeh ee) kidogo kidogo, kidogo,( eeh) baba bado kidogo kidogo, kidogo (eeh ee )kidogo ,kidogo kidogo ,(eeh )baba bado, kidogo ,kidogo kidogo,( eeh )baba bado ,kidogo....