Mitumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mitumba - Moji Shortbabaa
...
mmhh... Yee..
Ni Shorti Baba
Amenipa chance ya pili ee Kama mitumba mitumba aah
Amenipa chance ya pili ee kama mitumba mitumba aaah
kama mitumba mitumba aaah
kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
amenipa chance ya pili tangu niokokee ,,,,okoke eee
amenipa chance ya pili saa niko okay, okay ee
mii ningeliwa na mamba (mamba)
saa niko chini ya mwamba (mwamba)
team kubwa akanipa namba (namba)
Talaka yangu kaa nguo za mkamba (kamba)
oooh l know bila yeye mii sina styroo
uuh i know kwake on point kaa biro
mii ningeliwa na mamba (mamba)
saa niko chini ya mwamba, (mwamba)
team kubwa akanipa namba,, (namba)
talaka nguo za mkamba (kamba)
Amenipa chance ya pili ee kama mitumba mitumba aah
amenipa chance ya pili ee kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
kama mitumba mitumba aah
eeii, ,,,,ukicheki nko fiti nko sober ni matunda ya Golgotha
ukicheki nko fiti nko sober ni matunda ya Golgotha
aliniambia oya kuja tu avuka border oya vuka tu