
Mtoto ft. David Wonder Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Mtoto ft. David Wonder - Moji Shortbabaa
...
Mtoto ,mtoto, mtoto,mtoto, mtoto, mtoto ,mtoto ,mtoto ,mtoto,mtoto ,mtoto, mtoto,
ni Short baba & david wonder
Nakufuata kama mtoto(mtoto)nakuamini kama mtoto (mtoto) (* 3)
( moji )
Nikikukosa nalia ,naumia, nikikukosa nalia,naumia( eeh)
(wonder)
Nikikukosa nalia, naumia, nikikukosa nalia, naumia (eeh)
(moji)
mtoto ni baba yake , mtoto ni baba yake
na wangu najua ,(* 2)
na bila wewe nina nini , (nini )na nitakula nini (nini ),(*2)
(moji)
(iih) ninaja kwako wewe ndio baba wewe ndio baba , nalia kwako wewe ndo baba wewe ndo baba, nakwama kwako wewe ndo baba wewe ndo baba , nalia kwako wewe ndo baba wewe ndo baba
ulisema watoto wakuje na nimekuja baba
ulisema watoto wakuje na nimekuja baba
nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto( mtoto,) nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto )nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto) nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto)
(moji)
(aih) nikikukosa nalia naumia nikikukosa nalia naumia (eeh)
(wonder)
nikikukosa nalia naumia nikikukosa nalia naumia (eeh)
(david wonder)
nitakufuata kama mtoto wa primo ,ndani yako kuna blessings and I know
umenipa mi uhai na bado na vipi tena mimi nitakuweka kando, nitakufuata kama mtoto wa primo ndani yako kuna blessings and I know
umenipa mi uhai na bado na vipi tena mimi nitakuweka kando
ulisema watoto wakuje na nimekuja baba
ulisema watoto wakuje (eeh ee)
(moji)
nakufuata kama mtoto ,(mtoto )nakuamini kama mtoto (mtoto) nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto) nakufuata kama mtoto (mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto) nakufuata kama mtoto( mtoto) nakuamini kama mtoto (mtoto)
(Moji)
aih nikikukosa nalia naumia nikikukosa nalia naumia (eeh)
(wonder)
nikikukosa nalia naumia nikikukosa nalia naumia (eeh)
nakufuata kwa imani nakufuata kwa imani ka mtoto (mtoto )
uniongoze njiani uniongoze njiani ka (mtoto mtoto)
sitasahau wewe ni nani sitasahau wewe ni nani ka( mtoto mtoto)
unipe nuru gizani unipe,nuru gizani ka (mtoto mtoto) (eeh)