![Mitumba](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/23/78/rBEehl1P4JqAWy31AAC9Z1TDFX0547.jpg)
Mitumba Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Mitumba - Moji Shortbabaa
...
mmm, Yeah n shorti babaa
amenipa chance ya pili (ee) kama Mitumba mitumba ahh, amenipa chance ya pili (ee) kama mitumba mitumba ahh,
kama mitumba mitumba (aah), kama mitumba mitumba (aah) ,kama mitumba mitumba (aah)
amenipa chance ya pili tangu niokokeke okeke , amenipa chance ya pili sasa niko okey key,okey key
mimi ningeliwa na mamba (mamba) sa niko chini ya mwamba (mwamba) timu kubwa kanipa namba(namba) kanakaa nguo za mkamba (mkamba)
ooh aiknow ,bila yeye mimi sina styro ,ooh aiknow, kwake onpoint kama biro,
mimi ningeliwa na
mamba(mamba) sa niko chini ya mwamba (mwamba) timu kubwa kanipa namba(namba)
kanakaa nguo za mkamba (mkamba)
amenipa chance ya pili (ee)
kama Mitumba mitumba ahh,
amenipa chance ya pili (ee) kama
mitumba mitumba ahh,
kama mitumba mitumba (aah),
kama mitumba mitumba (aah),
kama mitumba mitumba (aah) ,
kama mitumba mitumba (aah) ,
eih, ukicheki niko fiti niko sober , ni matunda ya golgotha
ukicheki niko fiti niko sober , ni matunda ya golgotha
aliniambia we kuja tu ,vuka boda oa vuka tu, oa vitu vitamu we kula tu
shetani chini kama kiatu, aah ,oyeah damu inaosha aah (osha aah) nini wataka nani Yesu anatosha,
mimi ningeliwa na mamba(mamba) sa niko chini ya
mwamba (mwamba) timu kubwa
kanipa namba(namba) namba(namba) kanakaa nguo za mkamba (mkamba)
amenipa chance ya pili (ee)
kama Mitumba mitumba ahh, amenipa chance ya pili (ee) kama
mitumba mitumba ahh, kama mitumba mitumba (aah),
kama mitumba mitumba (aah),
kama mitumba mitumba (aah) ,
kama mitumba mitumba (aah) ,
mitumba, mitumba anakupa chance ya pili kama, mitumba, mitumba ,anakupa chance ya pili kama, mitumba,mitumba,
anakupa chance ya pili kama,mitumba ,
mitumba, anakupa chance ya pili
kama aah eeih eeieeieih..
amenipa chance ya pili (ee) kama
Mitumba mitumba ahh, amenipa chance ya pili (ee) kama mitumba mitumba (aah), kama mitumba mitumba (aah), kama mitumba mitumba (aah), kama mitumba mitumba (aah),kama mitumba mitumba (aah),
ooh... eeei...ooh... eeei...