
Pekee Yangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Pekee Yangu - Moji Shortbabaa
...
.. n short baba
Mungu akipanga unapangua,
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua ,
siko pekee yangu ,.
( yeiye ,yeiye)
siko pekee yangu,.
(yeiye, yeiye)
siko pekee yangu
baba yo, baba yo n wewe unijuaye
(ee eeh)
sihitaji jeshi n wewe
unilindaye (ee)
baridi ikizidi n wewe unifunikaye
(ee eeh) ,
wewe ndiye nuru gizani, inimulikae
(yei yei) ,
kukikauka baba we sikosi maji ,
wakifunga baba we sikosi kazi
(yei yei )
wakinishusha baba we wanipa
ngazi
wakifunga baba we sikosi kazi
( yeiye )
?? i'm not alone , oya siko solo
yuko nami baba yo
Mungu akipanga unapangua
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua
siko pekee yangu
( yeiye yeiye)
siko pekee yangu
( yeiye yeiye)
siko pekee yangu
mangapi umetatua, ee uko nami
kila hatua
(ee )wanafunga
milango nikose, ukuta unapasua
meza mbele yao unaandaa
unaweza hata wengine
wakikata
maisha umechora, uwezi
kunipora uko nami kwa moto
baba yo
kwako sitaora ,
maisha umechora, uwezi
kunipora uko nami kwa moto
baba yo
?? I'm not alone, oya siko solo
yuko nami baba yo
Mungu akipanga unapangua
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua
siko pekee yangu
(yeiye yeiye)
siko pekee yangu
(yeiye yeiye)
siko pekee yangu
Mungu akipanga unapangua
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua
siko pekee yangu
(yeiye yeiye)
siko pekee yangu
(yeiye yeiye)
siko pekee yangu
maumivu , siko pekee yangu
siko pekee yangu
( yei yei yei)
?? i'm not alone oya siko
solo
yuko nami baba yo
Mungu akipanga unapangua
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua
siko pekee yangu
(yeiye yeiye)
siko pekee yangu
( yeiye yeiye)
siko pekee yangu
Mungu akipanga unapangua
siko pekee yangu
kukichacha unanichanua
siko pekee yangu
( yeiye yeiye)
siko pekee yangu
( yeiye yeiye)
siko pekee yangu