![Nyama Choma](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/23/78/rBEehl1P4JqAWy31AAC9Z1TDFX0547.jpg)
Nyama Choma Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nyama Choma - Moji Shortbabaa
...
eh..
oh nana..
Ni shorti baba shorti baba ah...
...
Wacha ngoma ianze.
Oh this love, si mapenzi hivi hivi... oh na nana...
Oh this love, menikalia kama kiti... oh na nana...
Oh this love, menizunguka kama mshipi... oh na nana...
Oh this love, Mimi mshinda riciti... oh na nana...
Si ya chocolate, si ya maua...
Si ya malate night text, hio unajua... x2.
Kunishow ananipenda msalabani akadie...eh.
Amenishow ananipenda mbona mi nikakae...eh
Kunishow ananipenda msalabani akadie... eh.
Mi ma ye come Disemba kama bafu na karai...
Sio ya nyama choma, mapenzi yangu na yesu...
Si ya chipo na soda, mapenzi yangu na yesu...x2.
Sio ya nyama choma, chipo na soda...x4.
Kwake tam tam wacha milo.
Ye mzito wacha kilo.
mnipa rest wacha pillow.
Ye ako juu wengine below.
Mi msumbua kisirani...
Mchezo kibao kasarani...
Bado hunijazia sahani...
Kunisamehe nikidai samahani...
Kunishow ananipenda msalabani akadie... eh.
Amenishow ananipenda mbona mi nikakae...eh.
Kunishow ananipenda msalabani akadie... eh.
Mi ma ye come Disemba kama bafu na karai... ye eh.
Sio ya nyama choma, mapenzi yangu na yesu...
Si ya chipo na soda, mapenzi yangu na yesu... x2.
Sio ya nyama choma... chipo na soda... x4.
Kunishow ananipenda msalabani akadie... eh.
Amenishow ananipenda mbona mi nikakae... eh.
Kunishow ananipenda msalabani akadie... eh.
Mi ma ye come Disemba kama bafu na karai... ye eh.
Sio ya nyama choma, chipo na soda...x4.