
Sitadanganya (feat. Daddy Owen) Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Sitadanganya (feat. Daddy Owen) - Moji Shortbabaa
...
mmm yee yeah ni shortibaba na daddy owen
chochote ninacho ahh ni wewe siwezi kudanganya na nienda pua ahh ni wewe siwezi kudanganya
iwe kiatu kwa mguu ama ninafuu eeh ee nikipanda Matatu ama nikienda kama two ehh ee
milango unafungua singedhania ee eeh
unanichanua vyakinivamia ahh ah sitazo sitazo..sita
mimi sitadanganya eeh ee sitazo sitazo..sita. ni wewe umefanya ee eeh
sitazo sitazo..sita.mimi sitadanganya eeh ee sitazo sitazo..sita. ni wewe umefanya ee eeh
chochote ninacho ahh ni wewe
siwezi kudanganya
popote nilipo ahh ni wewe siwezi kudanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitandanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitandanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitandanganya
naweza dai ni masomo lakini ni wangapi wamesoma wamechizi
naweza dai ni ujanja lakini utacheka utasema am kiding wala si nguvu na bidii si nguvu na bidii
ni nguvu zako daddy nguvu zako daddy
ni ju milango unafungua singejua aa aah ni wewe natambua si kifua ii ee eeh
sitazo sitazo..sita.mimi
sitadanganya eeh ee sitazo
sitazo..sita. ni wewe umefanya ee eeh
sitazo sitazo..sita.mimi sitadanganya eeh ee sitazo sitazo..sita. ni wewe umefanya e
chochote ninacho ahh ni wewe siwezi kudanganya popote nilipo ahh ni wewe siwezi kudanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni
wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni
wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitadanganya
chochote ninacho ahh ni wewe siwezi kudanganya popote nilipo
ahh ni wewe siwezi kudanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni
wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni
wewe ee sitadanganya
eee baba ni wewe eee ee baba ni
wewe ee sitadanganya
nikiota kwa mtaa..nikiota kwa mtaa.. ukiotaga (matendo ya mitume tunachambua torati,hatukuji na vitisho ila kwa jina lake Bwana Yesu)
nikiota kwa mtaa..nikiota kwa
mtaa.. ukiotaga
nikiota kwa mtaa..nikiota kwa
mtaa.. ukiotaga
nikiota kwa mtaa..uliona.. alikuonaga.yee ee eeh alikuona napia anakupenda moji short baba daddy owen owen