![Choma Picha](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/23/78/rBEehl1P4JqAWy31AAC9Z1TDFX0547.jpg)
Choma Picha Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Choma Picha - Moji Shortbabaa
...
Hatutaki Kuchoma x2
Verse One
Nipate Kwa Kanisa Sunday
Staki Kuchoma picha
ka Niku pray nita pray oh Na
Staki Kuchoma Picha
Attention Kwa Word Nina Pay
Staki Kuchoma Picha
Nimwone Yesu One Day Na na na
Staki Kuchoma Picha
Chorus
Choma Picha
Staki Kuchoma Picha
Choma Picha
Staki Choma Picha
Verse 2
Hakuna Picky Ponki
Sina mizgo me si donkey
si ruka ruki me si monkey
Kwa Yesu me naka
me si songi
si Kwake Natulia Kama Reggae
Ndio Nibaki Juu kama Ndege
Shetani Aniwinda kama Ndege
Hanipati Ng'o Apende Asipende
Staki Kumea Mapembe
baba nitibu sio tembe
nipe Nguvu Masikwembe
yakupalilia wokovu kama Jembe
Hii Barabara Ya Binguni Nikode
So Sitaki Kunona
najikaza Kisabuni Eeh
Ju Staki Kuchoma
Nipate Kanisa Sunday
Staki Kuchoma Picha
ka ni kupray nitapray
Staki Kuchoma Picha
Attention Kwa Word Ni na pay
chorus
Choma Picha
Staki Kuchoma Picha
Choma Picha
Staki Kuchoma Picha
Nitakuwa na Danganya
Ati Dhami sijafanya
Kujificha kama panya
lakini Baba Amenikanya
nikihepa Nina tubu
Aki Bonga me Ni Bubu
Staki Doom kama waDudu
so Niko Grounded kama Njugu
Staki Kuchoma Choma Choma
kwanza Picha Labda nyama Choma
Staki Ma Corner corner Blueticks
Hata Sitasoma
Barabara Ya Mbinguni Ni Konde!
so Staki Kunona
Najikaza Kisabuni Juu
Staki Kuchoma
Nipate Kanisa Sunday
Staki Kuchoma Picha
ka Niku pray nitapray Oh na!
Staki Kuchoma
Choma Picha
Staki Kuchoma Picha
Choma Picha
Staki Kuchoma Picha
Natambua Yesu Hakukufa Bure Bure !
Natambua Yesu Hakukufa Bure Bure !
so sitachoma Picha*3
Staki Kuchoma Picha
chorus
Staki Kuchoma Picha *4