
Washa Nare Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Washa Nare - Timam Evans
...
Yahweh eeh
eeh na na na na eh Yahweeh
ooh ooh Yahweh
Tusidanganyane sio kila time mi huhisi kuomba mwili hukataa
Ni ka'roho ame'take journey
Kila time nikitaka kuomba mwili unakataa.
Huduma nayo ma'time inachokesha
Nimekuja kama ndai uniongeze ngata
"chorus*
washa nare ndani ya moyo wangu nare Yahweeh
Wakini'size wanadhani I got all figured out
Wanaona mtu perfect but humu ndani najua nimekuangusha Yahweh
Ukajua tu vile natamani kurudi to the first love kwako Yahweh tembea nami Yahweeh
sijiwezi bila wewe, hii kitu si ujanja bidii yangu
kama mwewe naomba nipae nipae (nipae kwako
Usiniwache kwenye njeve (kwenye njeve)
Hivi life imechapa bila Wewe (bila Wewe) Yahweh
*back to chorus*