Ratiba Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Ratiba - Timam Evans
...
he yeah
we we not baba yangu
Hosanna juu mbiguni nimekuja na sifa imekuwa tamaduni yangu
na ndo maana nimeandika nyimbo kutoka kilindini Cha moyo wangu
Baba umenibambaa
urafiki wangu nawee very smooth kuja kwako sichelewi ushirika nawe baba
urafiki wangu nawee niwakipekee
hosana juu mbiguni
(Ratibani mwako nipoo
napokita upo na sihitaji appointment juu Ratibani mwako nipoo
wakati napobisha mlango ukowazi)×2
Kwa nchi yako Mimi simkimbizi
kitambulisho Cha damu muhuri wa roho wako ndani yangu(ndani yangu)
ooh ninapokuhitaji haukobusy nakuja vile nilivyo sihitaji tizi waskia maombi yangu
Ooh urafiki wangu nawe very smooth nikwitapo huchelewi ukaribu nami baba
Urafiki wangu nawee niwakipekee
Hosanna juu mbiguni
yee Ratibani mwako nipoo nikwitapo upo nahuhitaji appointment
ooh Ratibani mwako nipoo wakati napobisha mlango ukowazi
Ratibani mwako nipoo nikwitapo upo nasihitaji appointment
ooh Ratibani mwako nipoo wakati napobisha (bisha) mlango upowazi
Ratiba yeyeyeyeah oooooho eeeeehe
Ratibani mwako nipooooo wakati napobisha mazeee mlango ukowazi.