Mtakatifu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Mtakatifu - Timam Evans
...
street worship
Nikita kea no ma name mangori kibao
ndo mida mihukuja kwako
sisemi nivibaya but dandora dumpsite nimekufanya wewe mashida ndo tu mihuleta kwako
nimeconcentrate na mabaraka
na nimesahau mpaji ulisema utarais qmadimanga tusipoworship na kupraise
nikohapa tukusema haina haja
uuh ju unilipa kipaji ikibidi minishout na kipaza
wote wajue
mtakatifu niwee mtakatifu niwee
sijakam nikitakaa kitu nimetamani tu kusema mtakatifu niwee ×2
sida ni Kwa noma na mangori kibao ndo mida ya mitukuja kwako
nahisi nivibaya
nasorora ndani ya huu moyo wangu ni sifa zimejaa zako
sitaconcentrate na mabaraka
nitakumbuka mpaji alisema atarais madimanga tusipoworship na kupraise
natamani tu wajue niko hapa
nasianilipa kipaji
itabidii nishout na kipaza
wote wajue
mtakatifu niwee (Yahweh mtakatifu niwee)
mtakatifu niwee (eeeeehe kunavile)sijakam nikitakaa kitu nimetamani tu kusema mtakatifu niwee (eeeeehe Yahweh)
mtakatifu niwee (mtakatifu ndiwe)
mtakatifu niwee
sijakam nikitakaa kitu nimetamani tu kusema mtakatifu niwee
mtakatifu niwee mtakatifu niwee
sijakam nikitakaa kitu nimetamani
tukusema mtakatifu niwee