![Teveva](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/12/88db2603e0dd4fd2a8d809f863a91f75_464_464.jpg)
Teveva Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Teveva - Timam Evans
...
Maisha bila Yesu kitendawili itawezanaje?
Ilhali nimezungukwa na pingamizi kila mahali
Ooh nikiwa nawe ni sure bet
We ni kinga siwezi fret
Nikiwa na Yesu ndani
Anatembea nami
Nikiwa hapo uweponi Mwako nakufa ganzi
ooh kwa nyumba Yako heri nikuwe kijakazi
Na kama itanilazimu nichunge lango
Mimi bora niwe hapo
Uweponi Mwako mi nimekamilika...
--- HOOK ---
Nitateveva bila We
Wema Wako, 'siniwache kila day nitembee na Wewe x2
Nikiwa solo sitoboi naisema wazi
Bila We hata na ma'silver na ugoro bado niko empty!
oh na kama baridi ya Tigoni haimalizwi na kikoi
Hivyo mi huwanga bila Wewe mi hubaki hoi
Ndio maana utanipata uweponi Mwako nikimiminika
Vile ulipendaga mtu kama mimi manze hunitisha
Macho Yako yako kote mimi wapi ningejificha?
Napiga hesabu yangu bila Wewe haiwezi jipa
--- BACK TO HOOK ---
Nitateveva bila We
wema Wako, 'siniwache kila day nitembee na Wewe x4
lyrics by Dannie Nimrod