
Malishoni
- Genre:Blues
- Year of Release:2023
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Malishoni - Godfrey Steven
...
Aiyoyoyoyoyoyoyo ee;
Wengine walisema ukubwa ni jalala,wa weza kutupiwa kila aina ya swala,
Wapaswa kwenenda kwa akili za ndani,
hupaswi kwenenda kwa akili za mwili;
Yajapoo yajapo,yakae ama yapite,
sioni haja,sioni haja,sioni haja kujitetea sioni;
Haina haja,haina haja,Haina haja kujitetea haina haja,sioni haja,sioni haja sioni haja kujitetea sioni haja,
Malishoniii, malishoniii,nifundishe kula vilivyo sahihi ili nijue namna ya kwenenda
Vitaniii, vitaniii nipige mbio zilizo sahihi, nipige mbio zilizo sahihi;
Mwangani wazipata kampani,gizani wazikosa kampani,mwanganiii ulizozifazili mwangani zageukakutaka kukusukuma gizani,
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Godfrey Steven Malishoni MP3 song. Malishoni song from album Malishoni is released in 2023. The duration of song is 00:04:12. The song is sung by Godfrey Steven.
Related Tags: Malishoni, Malishoni song, Malishoni MP3 song, Malishoni MP3, download Malishoni song, Malishoni song, Malishoni Malishoni song, Malishoni song by Godfrey Steven, Malishoni song download, download Malishoni MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
174413925
Nchedange
sauti
elishacdya9
[0x1f623][0x1f60e]
[0x1f630][0x1f628][0x1f636]