Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Sorry Jk - Nikki Mbishi

...

Hook x 2 It will one day make sense Nikisema hakuna president kama JK Tanzania inakumiss yaani daily Kwa niaba ya wabongo i’m sorry JK Verse 1 I’m sorry JK nimeona tu niseme Mzuka huu niliupata nikiwa Juu Kijenge Mikopo hakuna tena huendi chuo kikuu kizembe Bungeni wan*lewa wanabonga tu king’eng’e Wakitwanga wanatamba wakisanda wanatubu Simuoni tena Jay tangu akutane Sugu Scorpion amegeuka ghostface mwema Aliyeota Rais atakufa anaitwa Godbless Lema RC na Wasafi uswazi madefender Hapa Kazi tu mtaani njaa kali sio sinema Kama kuisoma tushaisoma namba/Ungegombea awamu ya tatu ingekuwa bora labda Hook x 2 It will one day make sense Nikisema hakuna president kama JK Tanzania inakumiss yaani daily Kwa niaba ya wabongo i’m sorry JK Verse 2 Enzi za bibi cheka wengi walikuita babu cheka Hawakujua kuwa nyakati zinakuja nakusepa Ulivunga wakibeza kuwa unapenda sana bata Na kiki ka†Makonda za Wasafi kuwafuata Wabongo watakumbuka kwenye sekta ya michezo Mpaka Taifa Stars nayo ikaonesha mauwezo Ukaongeza vigezo nyenzo matengenezo Leo Samatta ndo kinara na hachezi soka la dezo Tuzungumze magazeti Bunge wanaedit Hakuna mikakati bwana kumbe wanaekti Demokrasia demoghasia za Field Force Wengi wanafear ukweli kuwaambia Unju siogopi Mabenki yanafilisika madeni yanamimika Hali imekuwa ngumu hadi wageni wanasikitika Hatusheshi na shisha yaani sio fresh inatisha Bar mwisho saa sita siku hizi hatukeshi kabisa Hook x 2 It will one day make sense Nikisema hakuna president kama JK Tanzania inakumiss yaani daily Kwa niaba ya wabongo i’m sorry JK Verse 3 Kila taarifa ya habari leo JPM Pesa imepotea kimazingara David Blaine Waathirika hawaelewi juu ya mipango ya Bukoba Tetemeko wasije kula michango ya Msoga Tumekosa usitupe laana tucorrect Weka kando chama tuwe wana tuconnect Hela imefichwa nyuma ya Pazia la viwanda Njoo Sogodo uone Tanzania ya vibanda Uone chafu moja na askari mia wakisanda Chocho za Panya Road mixer pwiya la miganja Kuna nyakati nilikudiss JK Now I’m calling for the peace,DAMN! We miss JK Hook x 2 It will one day make sense Nikisema hakuna president kama JK Tanzania inakumiss yaani daily Kwa niaba ya wabongo i’m sorry JK

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status