Priceless ft. Wakazi Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Priceless ft. Wakazi - Nikki Mbishi
...
Yeeh Unju black beat you what time is it city ocean music karuma natic stuff you know what am saying Doctor unju before barack obama osama bin laden yesu alibeba msalaba na baba ndo Carpenter maisha ni safari wape radha mapasenger kaa kijanja kaa sinza danga na vaa ninja unaweza sema najistili kiwanja kuja mapema kuondoka alfajiri juzi moka jana wameondoka na kanda mbili sheikh wangu nimchoka leo nafoka albadili kali gonga kali kunya habari huna am coming sooner am running to yah kaa mbali junior aah chigi di mick check navyo right left ki left G ka white ref am the nicest priceless kama devil kukupamelo tukiwa na balozi ni vituko vya gheto ananas door nyati bila mifuko ya jero usikose show kali kesho miyayusho itakuwepo mmmh naliamsha dude hamnipi fiesta mnamuangusha ruge nampangusa kupe nini chawa ufalme wako uje ulonifanya mi nikawa hivi power eeh aka Oscar kambona sam magoli kwenye cross ama corner hawanigusi wanablow na mangoma butu na moi unaweza sema show za makoma shosa na mbota na fake chains ung'ae unaemuogop ndo kwa section unae ni yule mentor wa stereo kwenye ubora wake the imperial natema vitu terrible