
Gangster Memes ft. SirBwoy Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Gangster Memes ft. SirBwoy - Wakadinali
...
(Munga)
Kuna bash kwangu na wako ndithi,
Huyo ni nani,ni Munga ni mimi
Cheki Huyo mrosh Cheki Huyo mresh
Anaweza mawezere,wezere wezere
Unabonga gangsta na uko na memes
Bonga gangsta na uko na memes
Unabonga gangsta na uko na memes
Bonga gangsta na uko na memes
Ooooh...dodo dosh....Niko SEMA ..Nilipata missed call
Mi huzima tenje Niko Rico hohohohohoho
Ala kapiso alichora waliagree nilikwara
Nextdoor neighbor alibadilisha simu after covid waaah...
Nategea teo....Wawa.. street life ni curriculum
Nangojea exams Munga nimeichambua!
Kuna bash kwangu na wako ndithi
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki Huyo mrosh Cheki Huyo mresh
Anaweza mawezere wezere wezere
Unabonga gangsta na uko na memes
Bonga gangsta na uko na memes