Geri Inengi ft. SirBwoy, Sewersydaa & Scar Mkadinali Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Geri Inengi ft. SirBwoy, Sewersydaa & Scar Mkadinali - Wakadinali
...
(Afvrika!)
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibuguduguboom
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
Kibugudugudu! my guy hii si toy
Ziwa Hurush na mi najienjoy
Tuliwabumbrush H-Kiamaiko
Buruklyn na mi si boyz
Sina jongo sina form sina cheda
Bila mbesha still ma-chargie walichuna
Ngeus una matress kwako sema form
Munga mjinga niko zone
Past curfew magiza niko biz
Smady Ting alikujia magiz giz
I’m sorry ilidim, am sorry nimediiim
I’m sorry ilidim, am sorry imedim
Am sorry ah! ah! aiii!
Subaru inakam na mambaru wamekrome
Zaidi ya mzinga na zile vitu wrong
Munga, Sirbwoy hepa chuom na imepong
Digitali jaba kali shikisha na Dosh
Maisha posh na maombre wa pale Canaan Koch
Taxin na magego za ogoro
Zinawaka shinda torch za magwoch
Idhaa ni mbaya lola mbota, lola watch
Yeah, yeah
Kwa hii darasa mi ndio teacher, mi ndio coach
Zimewaka, zimeliet, zimemuoch
Mbara ya gatheshe, hatuna kasheshe
Maybe tukuthiokore na tukufanyange patient
Boom boom, yeah yeah yeah yeah yeah
Boom!
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!
Zihushika za ki white boy
Akiwa maduya riomo anacock toy
Hicho kidureg isikufanye uingie kwa soil
Bro na kidurag hudungwa na rock mboi, boy
Hatuitishi ruhusa kuguza
Tunaishi nchi rais hutundura
Na ukisnitch juu ya clique unasundwa
Shokde Lee tunakam kuchunguza, UMBWA!
Cock de ting ka umekam kutunyuria
Finger imekwama kwa trigger unabuya
Usikam ukiwa steam ka hutaki kupanguzwa
Ni genje njege walikam kuwatuma
Uh alikam na ki-du-du-du-dum!
Kama huamini unaeza Google-um
Saa hizo jaba ni maini na kindukulu
Walifanya zote zishuke chini pungulu, pu!
Ati Scarde amechange? Haha, ati Scarde amechange..
Kwani unaexpect nini Fathe akikubless?
Ni ma pupu… ubitch nigga muanze kuvaa vest
Cheki Dosh Dosh
Hakuna haraka manze tuwapeleke mos mos
Chunga usipate baraka waseme ni wash wash
Ilifanya utoe kila kitu kwa mbosho
Ki sh! sh! kinawaka popote umoroto
Ma twa! twa! msupa wako akipewa kiboko
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Cheki fala amekam na amezubaa
Na anacheki ati Subaru ya mambaru
Imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Subaru ya mambaru imekam na imejaa
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Alikam na kinini? kiturutututu!
Kam na kinini? Kibugudugudu!
Kam na kinini? Ki Sh! Sh!
Ki Hmm Hmm! Ki Ha! Ha!
Na imejaa!