
Love Song Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Love Song - Wakadinali
...
(Munga)....intro....
Woo (wo), Yoh (yo), Yoh, Yoh
.......Chorus"
“Ride expe ni ya mbaru,
Hio amejaza sana Mariamu,
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve...na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni
nyaru.
#gain with gang Rong Rende!
Nina kijana huko chini anataftwa
na Hessy...
Nliambia bro we ni sugu,
With no fear uliwakulia majuu na
ulihepa
(Get well soon!!)
Stepper mtu wangu, kwani
ziliraru?
Get well soon"
Naskia ulikaangwa ukiokolea
mjunior wa daycare!
Ride expe ni mbaru,
Mariamu ni kifaru anaserve
anadu* mra ya kuuza ngwai na ni
nyaru.."
Verse 1: [Domani Munga].....
Shash ni important,
Yut kiombitho maze ukimseti
ni za ovyo,
Economy ya karao ni mahongo
Learn kunukia hizo mikosi
uzi let go!
kuzidisha! tenant ni waoga
So bunde nikizidisho me hudema
Nairobi kwa rentals"
Ni' nlidhani ni ma vlogger
kumbe ni patanisho
Mdem alireport kwa radio!!
RIP Guka
Ye ndio...alikuwa...na..mabob ka
Wailers!
Bash alilipa ya Rot Wailer
Rong boyz nasikucheza, game ni
whichever
Niko broke bila cheda,
Hepa!!
Hatari kwenye lango,
Kama tuja knock tuko Wera!!
Nguna na si freelancer, achinjiwe
hadi Sri Lanka,
Game za paka na panya hapana!
Kachumbari me huongeza spice
hata pasta,
Utanipata na dem ameivisha
ashanyanya.
Macharge huku nje
Ni Pastor Ng'ang'a ni juzi tu
waliivishia mbang'a!!!
.........Chorus"
“Ride expe ni ya mbaru,
Hio amejaza sana Mariamu,
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve...na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni
nyaru.
#gain with gang Rong Rende!
Nina kijana huko chini anataftwa
na Hessy...
Nliambia bro we ni sugu,
With no fear uliwakulia majuu na
ulihepa,
(Get well soon!!)
Stepper mtu wangu, kwani
ziliraru?
Get well soon!!
Naskia ulikaangwa ukiokolea
mjunior wa daycare!
Ride expe ni mbaru,
Mariamu ni kifaru anaserve
anadu* mra ya kuuza ngwai na ni
nyaru.."
Verse 2: [Sewer Sydaa].....
Big up kwa wale watu hutoa
mkono kuonyesha support!
Bitch*a mjamo si alifanya hater
jana akasag mdomo...
Kiuna anapreach hakuna
Ni venye tu akona wafuasi
stubborn!
Riot nairoll nayonayo
Siwezi enda kwa kina Navio!
Huwezi niambia juu ya
Africanism,
na nyi wote mmebleach"
Wire si hukata, hatutaki
Hatutaki kuwa associated na
snitch!! (wire wire)
Ukitaka kuulizia sanity,
marry huyo bae* (Murder)
Drill huyo fala,
Mwenye alikuja na daga kwa
vita ya upini (Sha Sha! sha!)
Mtaa walishachoma picha,
(ta! ta!)
Tena zile za muhadhara, (waah!)
Naskia wakienda kudare abroad,
na kina Chamwada (ssah!)
Mistake ya kwanza bleinar
alifanya, alikam kimala mala,
Anakatia bibi ya badman
Na stra za kuomba namba!!
........Chorus"
“Ride expe ni ya mbaru,
Hio amejaza sana Mariamu,
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve...na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni
nyaru.
#gain with gang Rong Rende!
Nina kijana huko chini anataftwa
na Hessy...
Nliambia bro we ni sugu,
With no fear uliwakulia majuu na
ulihepa,
(Get well soon!!)
Stepper mtu wangu, kwani
ziliraru?
Get well soon!!
Naskia ulikaangwa ukiokolea
mjunior wa daycare!
Ride expe ni mbaru,
Mariamu ni kifaru anaserve
anadu* mra ya kuuza ngwai na ni
nyaru.."