Wapi Na Nani Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Wapi Na Nani - Wakadinali
...
Chorus (Munga)
wapi na nani , wapi nani wapi na nani,
ngoja niwalole pinji ni redro msee anagoza ni omre , ukimuok na reda ni dibla,
sisi kuslay si ka kina Zari , continue shoms alituzidi wapi na nani........×2
Verse 1 Munga
Ebu kuja kuja kuja huku kamenuka(kakaka,)
ndeng'a msee inatiririka ,
si ni wakukuja tuko nyuma huku kwetu mtaro imefura,
liquor nimefanya imeisha full half litre,
tangu niwe mless mi ni mtukutu,
gal dem anajua kim jong Dosh mi ni mtukutu,
sare porojo bad news this is the cook book
siwezi pull up na kisu mi ni mtu tu tu tu
mbuku nijaze mistari zi hi hi hi,
chill, booth hunukanga mi ni legal ill ill,
tafuta dere na mngola huwezi rudi tena umeze shee,
mbele namtoka usiwai bonga sana kasheshe,
ngati ngati ngati ngati ngati msee,
this is a wake up call, welcome to my channel,
who am I cheki skele wa mine,
nding'a vanilla interior, mbele na nyuma ni white.
Chorus (Munga)
wapi na nani , wapi nani wapi na nani,
ngoja niwalole pinji ni redro msee anagoza ni omre , ukimuok na reda ni dibla,
sisi kuslay si ka kina Zari , continue shoms alituzidi wapi na nani........×2
Verse 2 (
Majengo naitwanga muktar, on the head man napita na vichwa,
huwezi nikunja huwezi nibend mpesa nangitha nadunga weekend,
Niko manyaru niko machwadi,
kila subaru nathani mambaru
? wa leo ni momo na
shika kundu leta tu za njoi
mrezi alinyuria na nyoi, woi woi woi