Loading...

Download
  • Genre:Hip Hop & Rap
  • Year of Release:2021

Lyrics

Kim Jong Un - Wakadinali

...

Alex Vice

Afrvka

Dunga agents mtaani, youts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini, ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani (Dunga), youts waliingiza round Umo 2 (Ingiza)

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un (Bro, bro)

Mpini, ndeng'a ni impromptu

Ndo ujue snitch hana haki kutathoka

Morio alificha white ju ni nyoka

Hater, yard kwao saa sita kupunguza hasira mi humkuta

Yuji-find ngware kwa mrota huyo mkora

Na ndio mahali usiku alingorota

Riswa, walikam na nguvu za giza wakaokotwa

Wakaita Mungu na Jesus waliokoka

Wasenge walibeba mawe kwa fight wakatokowa, wallet kwa toja

Ma acer si hukula rwabe rwabe, walihema bribe tu na mi nikatoboka

Manze si Mungu ni wa maajab, hio kesi ilikuwa blunder na brathe nikamonchoka

Masenke walihepa zabe, Hessy akashanda boyz hakukuwa mboka

Za Dosh na ma emoji "Oh Gosh"

Na ni vile yunikalia kwa mboto, Azziad Nasenya

Nashuku hapa lazma ntagenya

Nyonyo zimеsimama dashboard plus kuna picha nlitumia huyo manzi na ni senye

Wasee wa kuleta upuzi waеnde nje, saii ntawaripoti hizo biashara ziko

Saga za mtaa juu ya gorofa, mi huziona full resolution HD

Secret Agent M.I 6 warudi tuition

Mi huzimo tonji ka niko rikko, "sema" nilipata missed call

Dunga agents mtaani, youts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini, ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani (Dunga), youts waliingiza round Umo 2 (Ingiza)

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un (Bro, bro)

Mpini, ndeng'a ni impromptu

Chogi haelewi venye hio squad iliingia na kuna bomb detector

Waliotea murder wakasafisha kama nuclear wakakula vector

Saii kuna order imefika, shoot to kill ni wa armed and dangerous

According to raiyaa, body za gava na intel ya federal

Songa joh morio, kuna exchange hio pande ya Nyando

Cop anahold moto anaface madingo walikulana nandos, yo

Saii uko kwa list ya tano na kwa mdomo za wathii ka Saigon

Yout hucheza flat nayo, tunakuona hadi kwa widows uploads

Crime si rahisi joh, bro ako na ndeng'a na hajui kuicock

Ulipatiwa fiti freezy, kumbe joh haunanga kijiko

Uliingizwa baridi na cops kama maiti imelazwa kwa njifri

Hauskii shit, umekuwa binti ya Z Anto kiziwi

Ten times uliambiwa na folks, ona sa unaobey gravity force

Mbeina si ukapige report, nangoja kukuskia kwa "Gidi na Ghost"

Avoid huyo cop ka unaweza, kwanza ako idol na hanaku form

Nilifanya dem yake nikamgeuza wife, saii ako kwa bed of roses

Dunga agents mtaani, youts waliingiza round Umo 2

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un

Mpini, ndeng'a ni impromptu

Dunga agents mtaani (Dunga), youts waliingiza round Umo 2 (Ingiza)

Kudunga nduthi ni tapo na mathree, real definition ya thug

Umeskia ripoti ya DCI, bro amekuwa Kim Jong Un (Bro, bro)

Mpini, ndeng'a ni impromptu (Ndeng'a)

More Lyrics from Wakadinali Songs

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          If you have any questions, please feedback on Boomplay App or send an email to [email protected].

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status