No Vibe Just Receipts Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
No Vibe Just Receipts - Wakadinali
...
( CHORUS ×2 )
Tuko stuck hizi streets,
Tunasaka mullah tangu noon high tushaipata nguna wa kivulai,
Ananena akinunanuna ,
No vibes just receipts no vibes just receipts,
VERSE 1
Just receipts
Zangu na vibez hizo sare
Ati, hizo mameno za yellow ni mangale
Ushai jifind situation za kingwelo bila nare
Siku hizi hadi wanakuuzia bale wasee wa maremare
Leo network blunder, poor connection
Mbleina kwanza alikulwa hapo warosho
So we uko na kigode me nina nare
Hizi sides utaambiwa ati marengwa ni ngware
Curfew Corona Si Usare
Youths adi wa leo mali tumekalia ni kwa mawe
Network blunder, poor connection
Network blunder, poor connection
( CHORUS ×2 )
Tuko stuck hizi streets,
Tunasaka mullah tangu noon high Tushaipata nguna wa kuvulai
Ananena akinunanuna
No vibes just receipts no vibes just receipts,
VERSE 2
Unajiringa, unajipenda
Na kama ni salamu huku uko very kwenda
Waste of time ata venye unajiona
Na uwish heri ata mzae wako angeinyonga
Blessings zaidi wananiwish ni grandpa na nyanya
Treat a woman proper niliambiwa na mama
Enda pharmacy me ni mtoxic dawa ya panya
We ndio manzi tunaishi bila kukudanganya
Shh yoh Nina macrispies sema nose blow
Merry Christmas santa Northpole
Mandem just kidding ni watoi
Government building uncontrolled ilibaki niwatoe
Wazae na maguthama wanacry extra judicial killing za kina Hessy ziwe nadra
Walivamia Inspector flani alikuwa in charge of murder
( CHORUS ×2 )
Tuko stuck hizo streets
Tunasaka mullah tangu noon high tushaipata nguna wa kivulai
Ananena akinunanuna
No vibes just receipts no vibes just receipts