Hafungi macho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Hafungi macho - Daddy Owen
...
Mungu baba yeye hafungi macho habadiliki Jana Leo na kesho hazijua anaona shida zako ooooooh macho yake makali yaona mambo yote hata Yale yamefichika anaona hakuna jambo la Siri hasilo lioona ooooooh umekosa chakula mavazi hata pesa Kodi ya nyumba karo ya shule hata mchumba unadhani sa Dunia imefika mwisho oooooh