Narejea Kwako Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Narejea Kwako - Daddy Owen
...
niambie niambie unanipenda tena
nionyeshe njia zako nisipotee tena
magonjwa na janga la nzige zimeshafika kenya
nipee ishara zako nijue unanipenda tena
ulisema unanena kwa ndoto na dua langu utajibu kwa moto
ni mtihani mtihani juu nilikosa amani
mambo yako yanichemsha bongo
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
narejea narejea (mh)
narejea narejea (ooh)
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
nisamehe makosa yangu niliyotenda
unionyeshe mafumbo ndio kwako niwe chombo
nifundishe kutenda mambo unayopenda kwako niwe manukato uwe wangu niwe wako
laana za mababu isikuwe ndio adhabu yangu (unisamehe nisamehe)
nionyeshe maajabu uniweke kwa hesabu yako (unisamehe nisamehe)
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
narejea narejea (mh)
narejea narejea (ooh)
narejea kwako (tuwe marafiki tena)
narejea kwako (nipokee nilivyo baba)
narejea kwako (niwe marafiki na wewe)
narejea narejea (narejea)
narejea narejea (narejea narejea)
narejea kwako (uuuh mmh)