Daddy Owen (Mbona) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Daddy Owen (Mbona) - Daddy Owen
...
tarehe Kama Saba mwezi wa Saba
miaka zimepita kumi na Saba
hum duniani nishajipata
Mimi Mimi Niko nilivyo
sina Baba wala mi sina mama
siezi enda mbali mi najificha
natoka kujificha najitokezaa
Mimi Mimi Niko nilivyo
funga virago vyangu naenda mbali
sijui nifanye nini niende wapi
nifanye Nani Mimi nimwite Nani
Mimi Mimi Niko nilivyo
sioni mbona nyinyi mwanikimbia? sioni mbona nyinyi mwanidharau? sioni mbona nyinyi mwaniepuka
Mimi Mimi Niko nilivyo
CHORUS
mbona? mbona? mbona? mbona? mbona? mbona? mbona?aaaaahaha mbona?
mbona? mbona? mbona? mbona? mbona? mbona? mbona? aaaahaha
wakati mungu aliniumba alipanga mpango wa
ke kwamba Mimi niwe jinsi nilivyo mbona
sasa hamunithamini mwanioma Kama sifai...sikuchagua niwe jinsi nilivyo..
niii kitembea barabarani macho mmenikazia mbio mbio mwaniondokea Mimi ni kama nyinyi
*********************************************
**CHORUS**
*********************************************
kwa nini mwaniepuka na Mimi nikama Tu wewe na Mimi ni kama Tu wewe
Kwa nini wanidharau Kwa nini wanidharau? na Mimi ni kama Tu wewe na Mimi ni kama Tu wewe
Kwa nini wanikimbia Kwa nini wanikimbia?? na Mimi ni kama Tu wewe na Mimi ni kama Tu wewe
Kwa nini Kwa nini
**********************************************
CHORUS (4)