Vanity Lyrics
- Genre:Pop
- Year of Release:2016
Lyrics
Vanity - Daddy Owen
...
Namuona na gari kubwa kuliko shida zake
Namuona na wanawake
alisema hakuna mungu watu wajipange
Anadhani ni nguvu zake
Akigonjeka daktari anatoka ng'ambo
Akiboeka hapo utaona mambo
Maombi kwake ni kelele
Ndio nimeona nikuelezee
Ooh hashtag (hashtag) nebukadineza
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag(hashtag) nebukadineza
Haijalishi yale umeweza
Yote ni vanity oh oh
Vanity oh
Bila yesu ni vanity oh oh
Vanity
Namuona na sketi fupi
kuliko miaka yake
Anataka tumeze mate
Alisema moja hawezi
zima moto yake
Ana wanaume wanane
Haumpati kanisani
Ila ile siku ya harambee
Ya asusu(asusu eeh asusu)
Haamini mungu yupo
Ye husema atalishwa na matunda ya usupu(usupu eeh usupu)
Nasema hashtag(hashtag) nebukadineza
Sauli pia atakueleza
Nasema hashtag(hashtag) nebukadineza
Haijalishi yale umewezaa
Yote ni vanity oh oh
Vanity ooh
bila yesu ni vanity oh oh
Vanity
Yote ni vanity oh oh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity oh oh
Vanity
Usimdharau binadamu mwenzio
Kuwa eti wewe una pesa, mali na magari
Haya yote ni ????
Shukuru mungu kwa uhai
Usijisifu sanaa na huu mwili
Huu mwili ni chakula cha mchwa
Yote ni vanity oh oh
Vanity ooh
Bila yesu ni vanity oh oh
Vanity
Vanity vanity
Mbele za bwana
Vanity vanity
Mbela za mungu
?????