Waweza (Acoustic) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Waweza (Acoustic) - Noel Nderitu
...
Kila ninapo fanya kazi,
kwa uezo wangu mi siwezi,
ingawa nimejitahidi, kusonga mbele kusonga, lakini mi sibabaiki , kwani wewe unami, mamlaka yote duniani, ni yakoo......
hakuna jambo usoliwe, loliweza
kwa nguvu zako Baba tumeshitumeshinda, Imani yangu ipo kwako we, wewe Bwana
Nami nitajificha chini yako wewe Mwamba,
wewe waweeza wewe waweza Bwana wewe waweza wewe waweza Bwana,*2
unaweza Baba......
hakuna jambo usiloliwe( loliweza)
kwa nguvu zako Baba (tumeshi tumeshinda) Imani yangu ipo kwako we(wewe Bwana)
Nami tajificha chini yako(wewe Mwamba)
wewe waweeza wewe waweza Bwana wewe waweeza wewe waweza Bwana*4
mfalme wawafalme ni wewe niwewe
(unaweza Bwana)
hakuna wakulinganishwa nawe Baaba
(unaweeza Bwana)
na nguvu zaako hazina kikomo Baaaba
(uuuunawezaaaaa)
na unaweee(unaweza Bwana)
wewe waweeza wewe waweza Bwana wewe waweeza wewe waweza Bwana*2
ooo wewe waweeza wewe waweza Bwanaaaa.