Uinuliwe ft. Bethu Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Uinuliwe ft. Bethu - Noel Nderitu
...
Mwanzo tena mwisho,
mfalme wa wafalme uko hapa,
uinuliweee...,
Alfa na Omega, kimbilio , tunakuhitaji, uinuliweee..
Hallelujah, hallelujaaaaah uinuliwe *2,
(sifa zote) haaaaaaa uinuliwe ,
(sifa zote) haaaaaaa uinuliweee,
Mwanzo tena mwisho, mfalme wa wafalme uko hapa, uinuliweee,
(Yahweeeh)
Alfa na Omega, kimbilio tunakuhitaji, uinuliwe, (Yahweeeh,) hallelujah hallelujaaaah uinuliwe, Baba wewe uinuliwe juu,
hallelujah hallelujaaaaah uinuliwe,
mwenye uwezo, (mwenye uwezo)
pokea sifa zote(pokea sifa zote)
ni mwenye nguvu(mwenye nguvu) asiyeshindwa ni yeye(ni yeye Bwana)
Ni mwenye uwezo, pokea sifa zote,
ni mwenye nguvu asiyeshindwa ni yeye, (hallelujah) hallelujah hallelujaaaaah uinuliwe*2
hallelujaaaah
uinuliwe juu
aaaah
sifa zote
haaaaaaa uinuliweeee